Mchakuro Wa Mambo ya Kiroho (BRS 16.6)
(BRS 16.6sw)

Course Summary

BRS 16.6 Mchakuro Wa Mambo ya Kiroho

Uzingativu kuhusu mambo ya kiroho, kwa kuanzia na madhumuni yake, uunganifu wake na lililo wekwa wakfu, na utimizo wake

Kosi hii imeratibiwa katika vitengo vitano: (1) Dhana ya Mambo ya Kiroho, (2) Fahamu Kuhusu lililowekwa Wakfu, (3) Utimizo wa Mambo ya Roho, (4) Jamii ya Kiroho, na (5) Maisha ya Kiroho. Mihula 5 ya saa kwa mwanafunzi wa chuo kikuu anayetarajiwa kuhitumu.

Hati ya kusadikisha hutuzwa kufuatia kupokezwa kwa mitihani ambayo hujumuisha thibitisho ya kuwa mwanafunzi amesoma kwa bidii hayo makala na amehitimisha mazoezi ya mawazo.

Vifaa: Biblia yenye tafsiri yoyote.